Mwanariadha wa Uholanzi Sifan Hassan ameshinda mashindano ya Marathon ya Uingereza katika ushindi wake wa kustaajabisha akirudi katika chati. Hassan, bingwa wa Olimpiki akikimbia kwa mara ya kwanza mbio za marathon baada ya kufanya mazoezi kipindi cha mwezi wa Ramadhan, alikuja kutoka nyuma kushinda mashindano ya wakimbiaji bora wa juu wa michuano hiyo.
#mwanariadha #uholanzi #sifahassan #mashindano #marathon #uingereza #ushindi #voa #voaswahili #dunianileo

– – – – –
#VOASwahili

Sauti ya Amerika – Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

NIHON2020.COM - Olympic Games Tokyo 2020.